Harun Yahya
 

 

 
.....:::::::::: Books ::::::::::.....

   

NANI MWENYEZI MUNGU?

Tangu zama za zama, watu wamekuwa wakiutafakari Ulimwengu na chanzo cha uhai na wametowa mawazo yao mbali mbali juu ya suala hili.  Tunaweza kuyagawa mawazo hayo katika makundi  mawili. Mosi, yale yanayofafanuwa Ulimwengu kwa mtazamo wa kukanusha uumbaji na pili yale yanayoona kuwa Mwenyezi Mungu ndiye Aliyeumba maada na Ulimwengu kutokana  na Ombwe Tupu na kuupangiya utaratibu. Viumbe vyote hai na visivyo hai, vinavyoonekana na visivyoonekana, vilitokana na kazi ya Mwenyezi  Mungu.  Wanadamu, Majini, Wanyama, Mimeya, Magimba (Magalaksi), Nyota, Sayari, miyezi na vimondo vyote vimeumbwa na Mwenyezi Mungu. Usanii bora, mahesabu, urari na mpangiliyo unaoonekana katika Ulimwengu na kwa viumbe hai ni vielezeo vya Imani hii.
Harun Yahya - Books Click for All Books
NANI MWENYEZI MUNGU?  (URL) -
NANI MWENYEZI MUNGU?  (DOC) 76 KByte
Harun Yahya

 Other Languages
English , Arabic , Indonesia , Farsi , Bosanski , Türkçe , Malay , Français , Rusça 

 
 
 
 
  BookGlobal.Net